Story By Joni Papa
author-avatar

Joni Papa

bc
Langas Hustle: The Boda Money
Updated at Oct 9, 2026, 05:57
Brian ni boda wa Langas, Eldoret. Kila asubuhi anaamka na deni ya boda, polisi wa traffic, na mama yake mgonjwa. Siku moja jioni, abiria mmoja wa suti alimwacha bag kwa pikipiki na akapotea. Ndani ya bag hakukuwa na nguo, ilikuwa na pesa mingi na kitu kingine hatari. Kuanzia hapo, maisha ya mtaa inabadilika. Marafiki wanakuwa maadui, polisi wanamtafuta, na yule abiria anarudi. Je, Brian ataokoka na pesa au mtaa itamla? Hadithi ya ukweli ya maisha ya ghetto, hustle, na uamuzi mgumu.
like