Story By Lucas Mc. Kisaka
author-avatar

Lucas Mc. Kisaka

ABOUTquote
Am an Author Story writer and businessman , Also i real like to see everyone at the top position especially young generation the life is today and not tomorrow live as if you will never be granted again a time to live in this planet.
bc
ROOM MATES
Updated at Feb 15, 2021, 02:56
Maisha yana mikasa, mafumbo, njia za kujifunza, karaha, raha, huzuni, vicheko na aina mbalimbali ya watu. Hakuna maisha mazuri lakini mabaya kama usipoyatumia vizuri kama maisha ya Chuo yamejawa na starehe mbalimbali na ujanja mwingi maisha yennye kumuweka kila mtu katika ubora na mtazamo wa maisha flani ya juu sana lakini kiuharisia familia zetu ni duni sana ila kuna wengine familia zao zina uwezo ila chuo ni sehemu ya kila mtu kuonesha umwamba kwa kuvaa kila aina ya nguo anayoitaka, Sehemu pekee ambayo ukivaa kiajabu ajabu unaonekana mnyasa ( mtu kuja) kwahiyo kila mtu hujikuta ni mjanja kuliko mwenzake, Ndugu zetu wasichana huwa chachu,chungu na tamu yani hupatikana kwa wingi lakini wakiwa wote katika ubora wao yani kila mtu ni pisi hataki kubaki nyuma kwa kila kitu kama alikuwa havai suruali basi pale ndo pakuanzia, kama alikuwa hajui kuongea kiswahili na kingereza basi pale ndo pa majaribio, kama alikuwa hajui kulinga basi pale ndo penyewe kama alikuwa hajawahi kunywa pombe basi chuo atakunywa, kama alikuwa hawezi kutoka mtoko wa usiku basi pale ndo mitoko ilipojaa, kama alikuwa hajawahi kumuona sponser basi chuo atamuona kama alikuwa hajawahi kujua maana ya Ghetto la mwanaume basi atalijua lakini pia kama alikuwa hajawahi tumia ATM card basi pale ataitumia na kama alikuwa hajawahi kushika kuanzia shilingi laki moja ( 100k) basi pale atashika zaidi ya hiyo. Hivyo hivyo kwa upande wa pili wa wakaka. Ungana nami katika kukuletea simulizi hii tamu ,yenye radha mbali mbali za kusisimua, kufundisha, kufurahisha na kuhuzunisha. Mtunzi na mwandishi: Lucas Mc Kisaka Instagram: lucastro_tz Mobile: 0745642249 0682429681 Email: Lucaskisaka@gmail.com
like