
MOX (30) anafanya kazi ya daladala kuwabeba watu kuwatoa sehem moja kwenda sehem nyingine siku moja alikutana na dada mmoja akamwambia amuelekeze ampelekee mboga yeye anakwenda kumuona mume wake hospital kapata ajali akamuelezea MOX akawa anaenda kufika njiani akajishauli hakupeleka akaenda kupika kwake siku iliyo fata MOX alienda kijiweni kwake Hali ilikua mbaya akaja mteja mmoja akamuwahi alivo panda mnyololo ukadondoka mteja akapanda usafili mwingine akaondoka pale kijiweni akaenda mtaani akapata abilia alipo panda upepo ukaishaa abilia akapanda usafili mwingine baada ya muda baada yakujaza akapata abilia mwingine anakaa gamba likapiga bomu
wakasambaana akaweka tube jipya akapata abilia m bovu wa mguu alipata ajali wakaelewana amfikishe nyumban atamlipa vizuri hataki
kupanda pikipiki wakakalibia kufika mlima ulikua mkubwa yule mteja akamwambia kama hatomfikisha hampi ela ikabidi MOX am,bebe kufika yule mteja akamwita mke wake alete ela alivotoka kumuona yule daladala akamwambia munewe yule ndokijana jana alimpa mboga akakimbia
