SEHEMU YA PILI (02)

2577 Words
Maisha ya Chuo yalianza kupamba moto kesho yake jumatatu siku ambayo kila mtu alitafuta ile nguo yake nzuri aliyoinunua kabla hajafika Chuo, wosia wa wazazi kila mmoja alianza kuufikiria na hakutamani kuenda kinyume na maneno ya wazazi, boom nalo hilo linakaribia walio na mkopo na boom walienda kusaini, ilikuwa ni wiki ya furaha sana kwa wale waliopata mkopo huku ikiwa ya karaha na huzuni kwa wale ambao Bodi ya Mkopo haikuwatendea haki , stori zilizuka za hapa na pale aaah mara hawa ndo wakisure ambao wamesoma shule za gharama ndo hawana mkopo ,stori zilikuwa nyingi na kila mtu aliongea la kwake lakini mwisho ya siku aliekuwa na boom na mkopo alisaini na kusubiria masaa machache na badae hela imeingia wengine ndo ilikuwa mara yao wa kwanza kutumia ATM card lakini wengine walikuwa washawahi kutumia kama Jimmy na Amon lakini kwa mtu kama Rose ilikuwa ni mara yake ya kwanza kutumia ATM card. ******************************************** Masaa kadhaa badae Rose na Yasinta walikuwa wanatembea kuelekea darasani, “Yasinta hivi ile card unaitumiaje maana mimi hata sijui mwenzako? “Hujawahi tumia kumbe ? Mbona ni rahisi sana nitakuelekeza usijali shoga angu? (huku akicheka moyoni) “Ayah Asante, tuwahi basi darasani alafu umeonaje Chuo Yasinta? “Yani hata sijakielewa bado hiki Chuo bado sana ndo kwanza tuna siku mbili sijui tatu kwahiyo bado sijakifahamu kilivyo vizuri, wewe umekionaje kwani? “Mmmh rafiki yangu acha yani nimejaribu kuangalia haya maisha ya wadada yani mtu anavaa kama yupo Bar au anaenda club, tuwe makini sana Yasinta sawa eeh naamini tukimtegemea Mungu kila kitu kinawezekana, “(Huyu nae jamani,hahahahahaha) okay usijali tutakuwa tu makini ila si nilikwambia usiangalie maisha ya watu jiangalie wewe tu watu huwawezi kabisa kila mtu na jinsi alivyolelewa nyumbani kwao na jinsi alivyokuwa na sio kila mtu anaevaa vile kuwa hampendi Mungu hapana don’t judge ivyo rafiki yangu, “Mmmh sawa lakini hata kama huwezi kwenda kwa Mungu na mavazi yale maana muonekano wako ndo unadhihirisha kama Mungu kweli yupo ndani yako hiyo haijalishi ni nje au ndani ya moyo wako Mungu hukaa kila sehemu na anatuangalia tunachokifanya hapa Duniani, “Eeeeeeeh jamani Rose emu tuingie darasani shoga angu tutaongea badae ? Waliingia darasani na kumsubiria mkufunzi wao lakini waliendelea kusalimiana na wenzao wakiwa darasani na wakati lecture imeisha walikutana na Irene akiwa na rafiki anaitwa Marry ambae alikuwa ni msichana mzuri, mrembo wa kupendeza, urefu wa aina yake na mwenye umbo kiufupi amebarikiwa kila kitu hadi wasichana wenzao wanatani kama wao ndo wangekuwa wanaume ili wamtongoze, walisalimiana na kumbe walikuwa wanakaa block moja ila vyumba tofauti, Marry alikuwa ni msichana ambae mbali na uzuri wake lakini alikuwa sio mtu mzuri kwa wenzake maana alikuwa na aina flani ivi ya ushirikina ila wenzake hawakuweza kumgundua kwa jinsi alivyokuwa mzuri asie na dosari. Yasinta alikuwa ni genius na anapenda sana kusoma na anafaulu sana darasani lakini rafiki yake Irene alikuwa anapenda sana bata , viwanja na club ila ni wa kisure kwao kuna hela sio kawaida na atatumia jeuri yake ya pesa kuwapata wakaka ila ana kumbukumbu mbaya maana mara ya mwisho aliachana na Boyfriend wake God na alikuwa na maumivu maana alikuwa anampenda sana na wanaume walimgundua tabia yake na kumtumia tu kisha wanaachana nae. Rose alikuwa ni mpenda Mungu lakini pia mrembo, mwembamba na weusi wa kuvutia sana hana tabia za kijinga lakini pia ana historia mbaya na mahusinao maana mara ya mwisho aliachana na boyfriend wake wakiwa kidato cha nne na hakuwahi tena kumpenda mkaka. ******************************************* Jimmy na Amon nao walikuwa wanatoka darasani na kukutana na washikaji wengine wengi wakiwa wanapiga stori lakini kidogo badae waliachana na kila mtu kuingia katika chumba chake wakisubiria kipindi kingine, Jimmy alianza, “Ivii mzee wangu umeelewa kweli maana mimi nilikuwa naona mapicha picha mengi tu sielewi chochote darasa wanafunzi wengi sana na lecture unamuona kwa mbali kinouma, “Hata mimi sijaelewa kaka , alafu ngoja nimpigie Rose mzee hahahahaha, “Hahahahaha ! Kaka ushammiss,oyah alafu umemuona Rose alikuwa na demu mmoja ivi white ana shape pisi ya kwenda dah mwanangu sijui ni nani yule ? Kanichanganya! “Ila mwanangu wewe hata wiki hatuna ushaanza mambo yako ya wadada sasa yule unamfahamu au unataka kukurupuka tulia kwanza mzee, “Hamna kaka ngoja tu nifanye hivyo nimemuelewa kinouma kwanza mpigie Rose au Yasinta maana Rose ataanza kuleta umungu mwingi hahahahaha, Amon alimpigia Rose... “Hello , Rose ! “Hello , habari “Nzuri , mzima wewe ? “Mimi Mzima nashukuru Mungu,sijui kwako mpendwa? “Mimi niko poa pia , nilitaka kukusalimia Rose nimekumiss (mmh sijui itakuwaje)’ “Asante, mpemdwa kwa kunimiss’ “Haya badae basi msalimie Yasinta au upo nae ? “Ndio nipo nae ‘ “Naomba niongee nae ‘ “Hello yasinta mambo ? “Poa za wewe , sasa namba yangu ulichukua ya nini usinipigie kwenye namba yangu? “Anhaa sorry bhna nilitaka kukupigia ila , Jimmy ana shida ma wewe emu ongea nae hapa ? Jimmy alishika simu na kuongea na Yasinta... “ Yasinta , mambo? “Poa mzima wewe ? “Mzima sijui wewe , nambie mtoto mzuri! “ Safi tu , wewe si umeamua kunikataa! “Nope bhna alafu sikia nilikuona mida flani ivi na mtoto mmoja mkaliiiiii, ni wa wapi yule ? (Yasinta alikuwa ameanza kumpenda Jimmy tangu muda tu sema hakutaka kumwambia na akimwambia lazima atumie jeuri ya pesa ili kumvuta Jimmy) mtoto gani wewe? “Yule mweupe flani ivi ulikuwa nae mida mnatoka darasani ukumbuki mlikuwa mmesimama? “( angejua navyompenda tena ngoja nimwambie kuwa yule ana mtu wake na mtu wake sio wa kitoto ) yule ana mtu wake bhana achana nae kabisa aisee hahahahahah, “Wewe naomba tu namba yake mimi nitajua cha kufanya! “Sina namba yake (huyu naona hanijui ngoja nianze kumchanganya this week kwanza atanielewa tu ) “Basi niombee ? “Okay sawa nitakuombea usijali Nikionana nae , “Okay badae basi ? “Okay sawa. Walianza kuongea wenyewe, “Huyu Yasinta anazingua mwanangu anasema hana namba nitaipata tu ? “Mzee tuliza moto huo utaipata tu mdogo mdogo! “Dah kwanza twende tukale mzee tuwahi class , oyah hivi boom lako wewe limeishaingia, ? “Ndiyo mimi NMB chapu tu kwa haraka mzee, “Dah mimi naona mizinguo tu mzee , sema freshi twenzetu funga hapo tusepe, Waliondoka kuelekea cafteria kula chakula cha mchana kisha kuingia darasani. ******************************************** Badae mida ya kutoka darasani Jimmy aliamua kumfuata Marry na kuongea nae .. “Hey mambo mrembo ? “Mmmh! Poa , mzima? “Mzima , sijui wewe, Marry unaitwa bila shaka?! “Mmmh! Hapana siitwi Marry, umenijuaje wewe ?( huyu kaka kanijuaje kirahisi hivi kitu gani nilichonacho unique?) “Macho , sura na tabasamu lako na jinsi ulivyo mrembo inaonenyesha huwezi itwa jina lingine zaidi ya Marry ? ( Jimmy alikuwa mjanja sana mtoto wa mjini yule aligundua anaitwa Marry na aliamua kumwingia kwa njia hiyo) “Okay naitwa Marry , nambie shida yako ? “Samahani (mbona kama anaonesha anaringa sana huyu ) “SamahanI kaka napoteza muda hapa , just talk to me what’s your problem ili nikusaidie!, “Dah , samahani Marry just relax and calm down we can finish this very easy don’t panic please, “Okay nakupa five minutes to talk , enheee carry on .. (Huyu demu mpumbavu nini mbona analinga ivii) sorry for wasting your time it seems like we can’t reach the conclusion just go whatever the case ! “Okay take care of yourself! “I ‘ll just go Marry , ( alitukana kisha akaishia zake , demu ndio ni mzuri ila naona analinga sana atembee tu) Alirudi katika chumba chake akiwa ameishiwa hamu na nguvu kabisa , alikutana na Amon akiwa anaongea na Rose alicheka sana (sasa huyu Amon na mama mchungaji wanaongea nini pale hahahahaha) kisha akaingia zake room na kujilaza kitandani kwake akiwaza majibu ya Marry ikiwa ndo mara yake ya kwanza kujibiwa vile na msichana tena kwa kufokewa (huyu demu Dah simwambii Amon kilichonikuta ) Akiwa amejilaza kitandani mara simu yake inaita,,( huyu nani tena mbona namba ngeni jamani ?) “Hello ! Mambo Jimmy ? “Poa , mzima wewe ? “Yeah , mzima sijui wewe ? “Mimi niko poa , kabisa nani wewe ? Naona namba ngeni ? “Nahisi unanifamu ila usitake kunifahamu sana , tunaweza kuonana badae sehemu nitakwambia? “Duh ! Sasa sikufahamu tena nionane na wewe (huyu mbona nasikia sauti kama ya Marry ivii anyway ngoja nikubali tu) tunakutana wapi sasa na saa ngapi ? “Utakuja room kwangu mida ya saa mbili usiku ,? “ Wewe siwezi kuja room kwako aisee si unakaa na wenzako huko (kule room ni karibu na room ya Yasinta na Rose hapana siwezi kwenda), siwezi kuja may be tuonane class usiku tukasome wote ? “Hakuna atakae kuona hata kama wakiwemo wewe njoo ina maana mimi ni mjinga kukuita room wenzangu wakiwepo? “Mmmmh ngoja tu niende alafu chuo si tunaruhusiwa) poa nitakuja usijali, “Okay jitahidi kama usipokuja usinilaumu? “Poa nakuja usijali hata , Huku na kule anasikia mlango unafunguka , kumbe ni Amon , Jimmy alianza kucheka , hahahahaha kaka naona ulikuwa na ma mchungaji muda wote huo aise hahahahaha, “Hahahahaha, acha mzee pale nimepigwa mafungu ya kutosha saivi nasikia kichwa kimejaa mafungu tu ya Biblia. “Sasa hivi pale mlikuwa mnaongea nini ? “Mbona vitu vya kawaida mzee kawaida sana ,hahahaha “Kama unamuelewa Ivi ma paroko hahahahaha, “Aaaah kausha mzee wangu , tusome hahahahaha mengine yatakuja badae, mbona kama una furaha ulimcheki Marry nini ? “ Yeah mzee kanipigia sikuamini kabisa mzee “Hongera mzee ila kuwa makini tatizo lako papara za kushata., “Usijali mzee wangu , Waliendelea kupiga stori mbalimbali kisha jioni mida ya saa moja Jimmy alikuwa tayari kusubiria simu ya Marry ili wakakutane pale walipopanga, alikuwa na shauku kubwa sana ya kuonana na Marry japo alikuwa hakumbuki hata alipojibiwa mwanzoni, Mida ya saa 1:30 jioni Jimmy aliamua kumpigia Marry lakini jambo la kushangaza ile namba ilikuwa haipo na sio haipatikani, Jimmy alishangaa sana ila wakati amepigwa na butwaa alishangaa kuona simu yake inaita tena namba iliyokuwa inapiga ilikuwa ngeni , alishangaa sana na alipokea... “Hello ,it’s me Marry mbona unashangaa sana ? “Oooh ! Okey tell me Marry! Nimeshangaa napiga kwenye ile namba yako naambiwa haipo kabisa , ndo maana nashangaa na umejuaje nashangaa au umeniona? “Hapana nimemihisi tu unashangaa , maana nimesikia sauti yako ni tofauti, anyway be ready to come it’s a time right ? “Okay, am coming ..nakukuta wapi hapo nje au wapi ?! “Naomba uje hadi chumbani utanikuta tu usijali, nipo mwenyewe usiogope!, “Dah ! Nije hadi ndani ?( aisee huyu demu mbona simuelewi aisee) tell me? “Kwani wewe unaogopa nini jamani? Au hutaki nimekwambie usiogope chochote na hakuna atakae kuona ni mimi tu na wewe tunaongea be free, “(Kudadeki! Mbona nimeisha, kwanini huyu manzi anajiamini hivi au anataka akanichinje huko ndani , ila yule demu ni mzuri alafu ananiita ndani kweli niichezee hii chance hapana ,Golden chance never come twice najilipua liwalo na liwe ila ngoja nimwambie Amon incase of anything awe na taarifa yangu),Okay nakuja sasa hivi ? Aliongea na Amon kumwambia kuwa Kuna sehemu anaenda kuonana na Marry ila ni room kwake , Amon alishangaa sana mbona imekuwa haraka sana ivyo ila alimkubalia na kusema awe makini maana demu ndio ni mzuri ila hamjui vizuri, Wakati akiwa anajipimpo na kuchana nywele zake ili kuziweka vizuri kujipulizia perfume za hapa na pale simu yake iliita tena namba ilikuwa ngeni , alipokea.. “Hello ? “Eeeeeh ! Mbona hauji wewe muda wote huo unajiandaa na kwani ni lazima umuulize rafiki yako au hujiamini? “(Huyu kajuaje nimemuulizia rafiki yangu , alafu huyu simuelewi mbona kila namba yake ni ngeni aisee) Anhaa usijali nakuja (huku akifungua mlango anatoka) nakuja tu saivi , kwahiyo nije moja kwa moja hadi room au sio ? “Njoo room kabisa ,alafu mbona unapenda kunifanya nirudie rudie wewe, “Sorry dear , nakuja nimefika hapa mlangoni fungua? “Sukuma tu mlango upo wazi, Jimmy alifanya kama alivyoelekezwa na kuingia ndani akimkuta Marry amevaa kanga moja yani akiwa amejifunga kanga , “Karibu Jimmy ! “Asante (huyu mtoto ana makusudi kinouma ndo kunivalia mimi kanga moko, hanijui mtoto wa tabata kwa wajanja eeeh ngoja nimvutie kasi ) mambo ? “Poa , karibu ukae, “Nakaa wapi ?( ngoja nijikute mpumbavu akinikaribisha tu pale karibu nae ameisha) “Sogea tu hapa kitandani kwangu ukae usiogope( huyu kaka angejua nimemuelewa tangu nilipomuona akisogea tu hapa sijui may awe mshamba). “(Huyu ananitaka nini jamani ?) alisogea karibu na alipokuwa amekaa Marry upande wake wa kushoto ,Marry alikuwa amevalia tu kanga yake moja na nguo moja ya ndani hiyo inamaanisha alikuwa tayari kwa kila kitu na alikuwa anataka kufanya vile kabla ya wenzake kurudi , huku Jimmy anajiuliza wapi pa kuanzia lakini wote walikuwa wameoneshana hisia na matamanio, “Enhee ! Nambie ile asubuhi ulikuwa unataka kusema nini (huku akipeleka mkono wake mmoja katika kifua cha Jimmy, Jimmy nae hakuwa nyuma alisogea na kumshika katika titi lake moja ) “Ulinijibu kwa hasira sijui but nilitaka kukuomba namba yako (akiendelea kumshika shika katika titi lake ) “Okay ndo niambie saivi siwezi kuwa mkali (nae aliendelea kushusha mkono wake na kufungua vifungu vya nguo ya Jimmy taratibu huku akihema kama punda aliechoka baada ya kubebeshwa mzigo toka safari ya mbali) “Nakupenda Marry, Jimmy aliendelea kumshika Marry katika nyonyo zake na bahati mbaya ile kanga ilifunguka na hapo mtoto wa Tabata alionesha ukomavu katika haya mambo baada ya kumshika Marry na kumlaza kitandani kisha kuanza kumlamba kuanzia miguuni hadi katika paji lake la uso , kwa miguno ya kimahaba Marry aliguna na kuruka ruka huku akimvua shati Jimmy,ulikuwa ni usiku wa ndoto na usiosahaulika kwa Jimmy maana hakuamini kama atampata Marry kirahisi vile. Aliendelea kumpekenyua na kuzama hadi chumvini Marry alichanganyikwa na kutoa milio ya kila aina ambayo ilimpa mzuka Jimmy ya kuendelea kumlamba Marry na kumpatia raha ambazo hajawahi kupewa na mtu yeyote, waliendelea na Marry alizidiwa na raha na kumtaka Jimmy afanye chochote juu yake alimvua suruali yake na kuanza kuchezea rungu comrade kipepe, Jimmy alitoa milio ya kiume na kumgeuza Marry kifo cha kwaajili ya s*x baada ya purukshani za hapa na pale za kumtafuta kunguni. ***************************************** Mara baada ya kumaliza haja zao Marry alianza kumsifia Jimmy na kusema “Nakupenda Jimmy , samahani kwa nilivyokujibu asubuhi! “Usijali, Nakupenda pia Marry , “Haya nambie umefurahi , ? “Ndio nimefurahi tena sana , uko vizuri unajua sana kukata mauno kwenu wapi wewe ? “Kwetu Mtwara Masasi, “Oooh ! Konde girl basi ndo maana nasikiaga wanawasifia sana mnajua kukata viuno, hahahaha Mimi nilijua wewe mtanga! “Hapana ,Mama yangu ndo ana asili ya Tanga ila pia hajakaa Tanga, na wewe nyumbani wapi ? “Mimi natokea Dsm maeneo ya Tabata segerea, “Okay sawa “Mimi naondoka naona usiku sana na nipe namba yako basi unayotumiaga, “Okay poa nitakutumia usijali , uwe na usiku mwema na Asante kwa kuja , “Okay nawe pia dear , Kisha aliondoka zake kurudi hostel kwake mara anakutana na Yasinta na Rose wanatoka darasani kusoma,, “Enheee ! Watokea wapi huku Jimmy?(Jimmy alipigwa na butwaa!!!!) “Nilikuwa kwa rafiki yangu , vipi ndo mnatoka darasani eeeh ? Alafu Yasinta ujue sijawahi kuelewa hata siku moja !?(alijiongelesha maneno mengi ili kumpoteza Yasintah lakini Yasintah alimuuliza tena ,). “Acha swaga hapa hostel za kike ndo kwanza hatuna hata mwezi wewe umejuana vipi na huyo rafiki? “Yasintah jaribu kunielewa basi , kwanza usiku umeenda naomba tukalale tutaongea kesho (huku akitembea kuelekea hostel kwake Yasintah nae aliondoka moyoni akiwa na maswali mengi na kuna kitu alihisi maana anampenda sana Jimmy kupita kiasi ila njia ya kumwambia ndo hajui na anahisi Jimmy hampendi sana ila aliwaza kutumia jeuri ya Pesa.) “Okay sawa , usiku mwema , Usiku Yasintah aliwaza sana kuwa Jimmy alikuwa anatokea wapi na alianza kumhisi Marry kuwa atakuwa kuna mambo ashayaanza na Jimmy hivyo aliona hana muda wa kupoteza, kabla hajalala alimtumia massage ndefu sana Jimmy yenye ujumbe maalumu ya kuwa anampenda,Jimmy alishtuka sana lakini hakumjibu lolote alishika simu yake na kuweka “don’t disturb “ kisha akaendelea kulala. Kabla hata usingizi haujamkolea alishangaa kuona simu yake inaita akshtuka ( he!!! Simu yangu inaita tena si nimeweka don’t disturb jamani?) alihisi kitu kisichokuwa kawaida basi aliona namba ngeni na alihisi mtu pekee anetumia namba ngeni Kwa siku za karibuni ni Marry hivyo aliamua kupokea huku akiogopa... “Hello ? “Yes mambo, unafika hata husemi na unalalaje bila kuniaga? “0ooh very sorry Marry, first sikuwa na namba yako exactly sasa ningewezaje? “Namba zote nilizokupigia ni zangu wewe zisave zote , “Okay poa usijali nitasave (huyu demu kweli ni mtu wa kawaida mbona yupo hivii hapa nimeyakanyaga aisee). “Okay , Good night , I love you Jimmy, “Thanks ! I love you too Marry.( kisha alilala ila moyoni moyo wake ulikuwa na mashaka na wasiwasi juu ya vitu anavyoviona kwa Marry)!!!!.
Free reading for new users
Scan code to download app
Facebookexpand_more
  • author-avatar
    Writer
  • chap_listContents
  • likeADD