Story By Saumu Nurdini
author-avatar

Saumu Nurdini

bc
MZAWA WANGU
Updated at Mar 28, 2025, 01:19
Mfalme:kiongozi wa Kijiji Cha minjingu nyamizi:mke mkubwa wa mfalme shama: mke wa pili wa mfalme sikitu:mke mdogo wa mfalme Namkunda:mtoto wa kike wa mfalme wazee wa Kijiji: washauri wa Kijiji chifu: washauri wakuu wa mfalme wakunga: wazalishaji watototo wa Kijiji jonaa: kijanah shupavu wa Kijiji moze:baba ake na jona habiba: mama ake na jona
like