bc

MZAWA WANGU

book_age16+
0
FOLLOW
1K
READ
HE
another world
enimies to lovers
like
intro-logo
Blurb

Mfalme:kiongozi wa Kijiji Cha minjingu

nyamizi:mke mkubwa wa mfalme

shama: mke wa pili wa mfalme

sikitu:mke mdogo wa mfalme

Namkunda:mtoto wa kike wa mfalme

wazee wa Kijiji: washauri wa Kijiji

chifu: washauri wakuu wa mfalme

wakunga: wazalishaji watototo wa Kijiji

jonaa: kijanah shupavu wa Kijiji

moze:baba ake na jona

habiba: mama ake na jona

chap-preview
Free preview
MZAWA WANGU
MZAWA WANGU Nyamizi !,Nyamizi !Nyamizi!(ili sikika sauti ya mwanaume ikiita) Nyamizi: abee! Nani mwenzangu !(aliulizia kwa sauti ya chini ya uchovu ) alijibu mfalme kwa sauti ya chini , Mfalme: ni Mimi mfalme nifungulie mlango mke wangu Nyamizi Nyamizi :ingia ( akifungua mlango wa nyumba iliyo jengwa kwa kutumia kinyesi Cha tembo na udogo mfinyanzi na kuezekwa na nyasi ngumu refu na ukuta ulio pambwa kwa kuchorwa maua ya aina ya Lili kote) Mfalme:(akiingia ndani ) ume lala mke wangu !,nimepata ndoto mbayah sanah mke wangu ndo maana nimeona nije kwako mwenzangu Nyamizi: karibu mfalme wangu ( akiinama na kumkaribisha).mfalme aliingia ndani na kulalapemben ya mke wake nyamizi ambae ni mwanamke ampendae Kati ya wake zake wa wiki ambao ni sikitu na shama ambao walikuwa wakimzarau nyamizi kwakua alikuw ni mke mkubwa wa mfalme ambae alikuwa amekaa miaka mingi bila ya kupata mtoto . Nyamizi : ungeenda kwa wake zako wadogo (akitania uku akimuangalia mfalme ) Mfalme : wajua kuwa wewe ni mbuyu wangu ambe tulianza wote Kama mbuyu bila ya wewe mimi nisingekuwa ivi Nyamizi,,, Mungu kanijalia kupata vijana wa nne kutoka kwa wake zangu wengine lakini tumaini langu lipo kwako wewe mke wangu na wewe utanizalia shujaa.(mfalme aliongea akipapasa tumbo la mke wake mkubwa nyamisi ) Nyamisi: mimba bado ni changa sanaah kuwaza kupata shujàa mfalme .namuomb mungu wetyu wa milima apate kumbariki mtoto uyu . Mfalme : Amina ,nazani mpaka mimba iwe kubwa ndo tuta tangaza ushindi huu wa mitishamba na nguvu za mungu wa milima kwety mpaka tunamtarajia mwana Mimi na wewe. ( Mfalme aliongea kwa furaha) Nisiku ingine tenaha ambapo kijiji Cha minjingu kilikuwa kimengaa na kuonekana vizuri kutokana na mwanga wa jua ambalo liliweza kukiangaza vizuri Kijiji kile .kila mwanakiji alikuwa akijituma na kilimo ,uvuvi pamoja na urinaji wa asali pamoja na shughuli nyingine ndogo ndogo kama ufinyazi ,uchingaji na ususi wa vitu mbali mbali ambazo zinawafanya pamoja na kinacho wafanya kuchanganyika na vijiji vingine kwenye mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa .mfalme alijumuika na wazee wenzake kwenye vikao mbali mbali vya kijiji ambapo walidiscuss vityu mbali mbali kuusu kukabiliana na wanyama pori ambao walikuwa wakishambulia mazao yao na kuwafanya kupata mazao finyu .ambapo kwenye kikao mfalme aliwajulisha wazee wenzake kuusu ujauzito wa mke wake mkubwa na iliwashangaza sanah ma chifu wa kijiji icho. Chifu 1:oooooh,maaaaaweeeh,,,Nyamizi??,(alishangaah kwa furaha na kuinuka kucheza kwa kutumia mguu mmoja Kama tamaduni zao) Chifu 2:pa pa pa ( alipiga chini kamba aliyo kuwa ameishika iliyo kuwa imefumwa kwa kutumia uzi wa katani ndefu na magome ya miti mikubwa.wazee wote walifurahishwa na hilo .na baada ya kikao icho taarifa zilisambaa kijijini kuusu mimba ya Nyamizi wamama wa kijiji walifurahishwa sanah na hilo . Shama na sikitu walipata taarifa za ujauzito wa mke mkubwa lakini walikuwa wakijua kuwa haitakuwa kubwa iyo mimba ,wao walibarikiwa watoto wawili wawili wa kiume ambapo ni watoto wanao ipa heshima familia ya kifalme apo kijijini Ilipita miezi kumi bila ya Nyamizi kijitungia alikuwa nimtu wa kukaa ndani tyu ntakutumia dawa ili kuweza kujifungia lakini ilishindikana na watyu wakaanza kuongea katika Kijiji kuwa mizimu ya Kijiji haijapenda ujio wa mtarajiwa huyo .ndo maana mazao pia yamepungua kijijini na ukame umekuwa mkubwa .lakini mfalme aliendelea kuwatoa hofu wanakijiji wake na kuwatoa izo Imani potofu . Wazee wa kijiji na machifu walimshauri mfalme kumpeleka mke wake kuonana na mungu wa milima ili kuweza kutoa nuksi na aweze kujifungua . Mfalme: mke wangu saivi yupo katika hali mbaya kwani hawezi kutembea miguu yake ilikuwa mizito kupiga hatua . Wazee : mungu wa milima ata mtia nguvu na kutakuwepo na vijana wenye nguvu kumbeba katika kiti mapaka milima ,Safari ianze kesho mfalme wangu .(aliongea akiinamah kuonesha heshima juu ya alicho kuwasilisha) Mfalme:sawa mungu wa milima atakuwa Nasi ,(aliinuka na kuondoka akiwa na wasi wasi na kuogopa kumpoteza mkewe Nyamizi na mwanao aliyopo tumboni) Ilikuwa no majira ya saa tano usiku huo ambapo mvua kubwa ilianza kunyesha na Nyamizi alianza kupata uchungu na wakunga wa Kijiji walifika pale kwaajili ya kumzalisha Nyamizi .walitumia muda mchache kumzalisha na Nyamizi aliweza kujifungua mtoto wa kike . Mkunga 1: kajitungia mtoto wa kike .(akitabasamu ) Mkunga 2 : lakini mtoto mpaka Sasa hajalia (akionesha wasi wasi) Mkunga 3: ilimradi ni anapumua ,au kwa kua kina mvua kubwa inayo endelea nje atuja msikia na huu mwanga hafifu wa koroboi . Mkunga 1: hatimae mfalme amepata binti .(alimuinua na akiwa kalala tyu mtoto akiwa kafumba macho) Baada kama ya nusu saa nyamizi alipata fahamu na chakwanza aliuliza kuusu mwanae ambae alimsubiria kwa muda mrefu . Nyamizi: mwanangu ! Mkunga 2: lilililililiiiiiiiiiii,lilililililiiiii,(alipiga vigele gele viwili) Mkunga 1 na 2: lililililili,lililililili,lilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii( wakapiga na wao vigele gele vitatu vikubwa ambapo kulikuwa na mvua kubwa inayo nyesha nje lakini walinzi walisikia sauti hizo na kupuliza pembe kwa mlio wa aina yake ukiashiria ujio wa mtoto wa kike wa mfalme na walio sikia walipiga vigele gele Kama tamaduni zao zinavywo sema. Mfalme haruhusiwi kuwepo katika chumba Cha mkewe wakati anajifungua ivywo alipata taarifa za ujio wa mwana wake ambae ni wa kike ilikuwa no furaha ambayo hakuweza kizuia .mfalme alichukua ngozi yake iliyotengenezwa kwa kutumia ngozi swalah wa madoa na kukifunika kujikinga na mvua na kwenda kumuona mkewe ambae kamletea binti . Mfalme aliongozana na walinzi wake wawiki mpaka kwenye chumba Cha nyamizi. Walinzi; mfalme amefika .( walitoa taarifa ) Mkunga 3: karibu ndani ewe mfalme wetu .(walitoa ruhusa na kutoka ) Mfalme;Asante ,mfalme alijikunguta maji na kuingia ndani kumuona mkewe ambae alimuona kwa mwanga hafifu wa koroboi akiwa kamshika mwanae akimnyonyesha ,) Nyamizi: sogea karibu uvishike vidole vyake laini na uso ambao umekufanana (aliongea uku akitabasamu ) Mfalme alisogea uku akiwa na furaha na kumshika mtoto mikono,alimpapasa uso wake na kusema kwa mkewe ajawai kumuona mtoto mzuri Kama huyu ama kweli kachukua nyusi zako nyingi na rangi yako nzuri kama jua linapo kuwa Lina angaza .walicheka kwa pamoja na kukombatiana kwa furaha .usiku ule ilikuwa ni usiku wa furaha kwa Kijiji na familia ya mfalme . Wake wa wiki wa mfalme pia walifurahi kwa kuwa walihofia kuwa nyamizi akiza mtoto wa kiume watoto wao wasingepewa nafasi Kam mwanzo. Shama:huyo akikua ataishia kuolewa katika ufalme mwingine lakini watoto wetyu watabakia kuwa warithi wa ufalme apa mpaka huu ufalme upuputike miaka na miaka wakianzisha viazazi nyao .au nakosea (alimuuliza sikitu mke mdogo wa mfalme) Sikitu: ndio mtoto wa kike akikua tyu ni kuolewa kwenye familia za koo zingine kudumisha uhusiano mwemaha,maana mtoto wa kike lazima awe mama na kujishughulisha.alimjibu uku aliinuka kuelekea mfuko wa zawadi ya mafuta ya samli yaliyo tengenezwa kupitia mtindi wa maziwa) Shama : twende tukamsabahi mwenzetyu.(waliinuka kuelekea kwa Nyamizi ) Iliwachukua Kama dakika nne kufika katika kibanda Cha nyamizi na wqlipokekewa na kuingia ndani .walimkuta Nyamizi amejiegesha pembeni ya mwanae ambae alikuwa amelala . Shama: lilililililililililililililililiiiiiiiiiiii,(alipiga kigelegele mpaka mtoto Alie kuwa kalala aliamka na kuanza kuangaika pale alipo lazwa kwenye gudza zito la manyoya ya kondoo weupe . Wali simama mbele ya Nyamizi na kupiga mogoti na kuinuka Mara tatu na Kisha kuketi kwenye vigoda vilivywo tengenezwa kwa kutumia mbao za mti wa mgunga. Sikitu pamoja na shama walimpa zawadi ya mafuta hayo yaliyotokana na maziwa ya ngombe na kumpa hongera mke mwenao mkubwa na kumuangalia mtoto akiwa ana angaika angaika pembeni mwa mama ake . Mfalme aliitusha tafrija kubwa katika kufurahia ujuo wa mgeni pmya katika familia yao ambao usiku wa kuzaliwa kwake mvua kubwa ilinyesha apo kijijini na kuendelea kuilowesha arthi ambayo ilikua kame kwa miezi kadhaah na kuwafanya wanakijiji kuandaa mashamba na kuoanda mazao mbalimbali.watu mbali mbali kutoa vijiji jirani walikuj kuhudhuria katika tafrija hiyo wakiwa na wake zao na Wanao ili kuonesha umoja wao na ujamaa pia. Mfalme : karibu Sana katika tafrija hii ya kumkaribisha binti yangu ambae tumempatia jina la "namkunda" ikimaanisha "nampenda" .na pia kujipongeza jamii yangu yote ikiwemo wazee wa jadi waliopambana vikali kumsaidia mke wangu mkubwa kupata mtoto,wakunga pia pamoja na wengine bila kuwasahau wake zangu wawili sikityu na shama . Siku hiyo watyu hawakulala ngoma zilipugwa sanaah na pombe za asili zilizotengenezwa kwa kutumia mazao zilinywewa na vyakula mbali mbali viliwa .wakati huo Nyamizi alikuwa ndani na mkunga mmoja aliye kuwa akimsaidia uzazi . Ni wiki na siku mbili Sasa vimepita lakini Mkunga aligundua kityu kwa mtoto wa mfalme aliyo zaliwa( Namkunda) .alikuwa ni mtoto ambae haoni ata ukimuonesha ishara ya kityu hafati ila anafata sauti mtyu aliongea ndo anageukia uwo upande na tangu azaliwe hajawai kulia ,hucheka tyu kwa tabasamu awapo usingizini..

editor-pick
Dreame-Editor's pick

bc

Unscentable

read
1.7M
bc

He's an Alpha: She doesn't Care

read
647.0K
bc

Claimed by the Biker Giant

read
1.3M
bc

Holiday Hockey Tale: The Icebreaker's Impasse

read
884.3K
bc

A Warrior's Second Chance

read
310.8K
bc

Not just, the Beta

read
317.6K
bc

The Broken Wolf

read
1.1M

Scan code to download app

download_iosApp Store
google icon
Google Play
Facebook